kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mnamjua kakakuona wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda?

    1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4. 2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

    Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

    NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya Advanced Certificate of...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Maisha ya Mwanadamu

    Maisha wakati mwingine huonekana kutokuwa na maana, lakini ni mwalimu bora kwa mwanadamu uwe jeuri na mkaidi ila Maisha ndo yatakufunza vyema. Kila uzoefu na hali mbaya tunayokabiliana nayo ukitazama ndani yake basi kuna somo kubwa ndani limejificha kwake, ajabu ni kwamba wachache sana wanaweza...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Taikon na Mchungaji Jonathan Kanjunju kuhusu ushirika wangu katika kanisa lake

    MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim of paradise "The Church of the Cherubim of Paradise" lililoko jijini Dar es salaam. Huu ni mwaka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabianchi yawafanya wanasayansi kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu athari za sayari katika miaka ijayo

    Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita. Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania "Sipendi kupangiwa Maisha" Ndio maana sifikiri kuhusu ndoa

    Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa). Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu. Nimeweza tofautiana na watu...
  12. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanasoka mbona Kuna kimya kuhusu Onana wa Simba!

    Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani! Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Netanyahu azungumza na Putin kwa dakika 50, amkaripia kuhusu Putin kuonekana kama ambaye haeleweki kwenye huu ugomvi

    Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa kajirani, Ukraine...........hiyo aibu imemfanya achanganyikiwe.... Prime Minister Benjamin Netanyahu...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu

    Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia?

    Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa. Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote. Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike? Kwa wale wanaotaka...
  18. fullcup

    JamiiForums Tanzania Ni muda Sasa wa serikali kutoa muongozo kuhusu uhamisho wa Mbarali

    Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda. Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Nahisi tunadanganywa sana kuhusu kiasi cha umeme kunachozalishwa nchini

    TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
Back
Top Bottom