Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,637
- 10,723
Swali la MSINGI;
IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI?
Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibuš
Ok tuendelee.
Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza āUKWELIā na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini yake kwa ufundi mkubwa sana na kukosoa imani zingine.
UKWELI ni kwamba SIO KWELI kwamba dini unayo iamini ULIICHAGUA kwa hiyari yako baada ya kujiridhisha ni SAHIHI na ya KWELI
UKWELI ni kwamba 95% ya watu wote Duniani wanaamini dini wanazo ziamini ikiwa ni MATOKEO ya MALEZI/MAKUZI, GEOGRAPHY/HISTORY, nasio machaguo yao
MALEZI YA MZAZI.
Wazazi wanachangia pakubwa sana kupitia ile TRUST dhidi ya watoto...... kuna trust kubwa sana ya mtoto kwa mzazi. Mtoto toka mchanga anamuamini mzazi 100% na anaanza kuaminishwa na kujengewa hofu kuhusu Mungu husika hadi anapokua kijana.
Teenagers are suspicious, lakini hadi kufikia hapo inakua too late, brainwashed damage ya mzazi inakua beyond repair
MAKUZI YA JAMII
Namna jamii inavyoishi kwa kumkuza Mungu
Mitaani watu wataapa kwa jina la Mungu, kila kitu kikitokea watu watesema namshukuru Mungu au namuachia Mungu, jamii inatoa nafasi kubwa kwa viongozi wa dini kama kwenye misiba harusi nk
Majanga makubwa yakitokea viongozi wataingoza maombi ya kitaifa nk nk
Mtaani huko ukisema hadharani hakuna Mungu kila mtu atakuona unalaana au umechanganyikiwa, nchi nyingine una uwawa kabisa
GEOGRAPHY/HISTORY
Je wewe mkristo wa Iringa au muislam wa Tanga vipi kama ungezaliwa na wazazi wa kihindu India kwenye viunga vya Punjab ambapo 99% ni Budha?
Vipi ungezaliwa kule milimani China ambapo 100% ya wakaazi ni Budha?
Kwa mfano Tz watu zaidi ya 80% wanajua dini mbili tu ukristo na usilam, hawana kabisa access ya kujua dini zingine, hii ipo kwa nchi nyingi sana duniani kote. Nchi kama North korea hali ndio mbaya kabisa.
Huko China kuna majimbo ukiwauliza kuhusu Yesu au Mudi hawajui kabisa kama vile wewe ukiulizwa kuhusu dini kuu ya wachina na Mungu wao hujui chochote labda u googleš
JE, WEWE UPO KWENYE IMANI YAKO KWA SABABU GANI?
Kisha tafakari dhana nzima ya uwepo wa Mungu mmoja kama inawezekana kwa kuzingatia malezi makuzi jiografia na historia š
JE NI NINI ROLE YA MUNGU WA KWELI KUHAKIKISHA WATU WOTE WANAMJUA?