Gypsy Rose atoka jela miaka nane baadae, baada ya kumuua mama yake

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
291
Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn.

Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye dating site na aliweza kumshawishi wasadiane kumuuwa mama yake kwa sababu alikuwa akimdanganya maisha yake yote.

Gyspy alidanganywa na Mama ya Dee Dee kwa kumwambia anauwa magonjwa mengi ikiwepo kansa na kulazimishwa kunyoa nywele iliaaminsihe watu kuwa anafanya chemotherapy.

Alichoma sindano, alimlazimisha kutumia oxygen na pia kumlazimisha kutumia wheelchair, pia kuumpa dawa ambazo alikuwa hazihitaji.

Sababu ya Dee Dee kufanya hivyo ni kwa ajili ya kupata misaada na michango mbalimbali. Kama zawadi, safari pia kujengewa nyumba yenye mfumo mzuri wa wheelchair kwa ajili ya Gypsy.

Gypsy ajuutia kumua mama yake na alitamani angerudisha miaka nyuma kumshtaki mama yake kuliko kumshawishi Nick kummua mama yake, Alitamani uhuru wake na pia alikuwa anamuogopa sana mama yake.

Gypsy sasa ameolewa na Ryan Scott Anderson mwaka 2022, nakutoka jela December 2023, japo Nick amefungwa kifungo cha maisha kwani yeye ndiye alimchoma Dee Dee Kisu.
 
Naona dee dee sijui Gypsy sasa nani mwanaume hapo au mwanamke na mama ni nani?
 
Back
Top Bottom