kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania New app for learning English: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
  2. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania The App: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    Habari zenu. Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka ijayo, kozi hii itachangia kwa kiasi kikubwa katika elimu nchini Tanzania. Kozi hii ni muhimu kwa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

    Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Edgar Kibwana wa CMG kama Kiingereza chako ni cha Kubabaisha kama Changu uwe unatumia Mbinu hii ili Usikikosee na Usishtukiwe kuwa hukijui

    Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa? Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sentensi hii ina makosa/kosa gani la kiingereza

    A thorough perusal of the Notice of Motion and the averments in the affidavit, two major grounds on which the application is based clearly comes out.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja wana JamiiForums karibuni tujifunze Kiingereza kilichoenda Shule ya Kuzimu cha Mwalimu wetu dr namugari

    'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanajitapa na kiingereza wakati movie za kizungu kwao hawazielewi zinatafsiriwa na Dj Afroo 😂

  8. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

    "Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu...
  10. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

    Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa! Hatari sana hii!
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari. Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
  12. HEARTZ

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya History na Kiingereza

    Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu. Naomba kutanguliza shukrani.
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Masahibu yalowakumba Dkt. Slaa na Mwabukusi ni moja ya hatua muhimu za udhibiti, kwa kiingereza huitwa "Purge"

    Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la kukamatwa Dr Slaa na Mwabukusi na wenzao na kisha kubadilishiwa makosa kutoka kuwa ya uchochezi hadi kuwa ya...
  14. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Taifa ya Tanganyika iwe Kiingereza

    Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza. Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

    wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
  16. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo. Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

    Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba. Kwanza...
  18. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa kiingereza kwenye mchakato wa kupata ufashili wa masomo

    Habari za muda huu wajumbe katika jukwaa letu pendwa natumaini mu wazima wa afya, bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kuulizia ule mtihani wa kiingereza unaofanyika kukupima kama unaimudu lugha hiyo kwaajili ya kupata ufadhiri wa masomo kwa hatua ya postgraduate studies...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

    WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8). Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri...
  20. proton pump

    JamiiForums Tanzania Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

    Katika harakati za masomo unakumbana changamoto nyingi sana. Nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza nilichukua course linguistics huku kiingereza changu cha kuungaunga kutoka St. Kayumba primary and secondary schools. Tukapewa kazi ya ku-present (mawasilisho, assignment) mhadhiri mwenyewe mnoko...
Back
Top Bottom