kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Juu wanazidi kukipromoti kiswahili, huku chini walimu sasa wanapewa barua za vitisho za kuhakikisha kiingereza kinazungumzwa mashuleni; imekuwa shida!

    Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika. Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
  2. Tango73

    JamiiForums Tanzania Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
  3. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

    Wakuu habari zenu. Nimepita kwenye status moja ya mdada nikakutana na hiyo clip ya Royal Tour kukiwa na maongezi kati ya Rais Samia na huyo mzungu. Kuna kipande Rais Samia anamwambia huyo mzungu kuwa THIS IS BEGINNING OF BEAUTIFUL FRIENDSHIP. Nimejiuliza mara 2 kuhusu hiko Kiingereza je kipo...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Rais Samia

    Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo. Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana. Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa. Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa...
  5. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  6. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Members, Msipende kusikiliza maneno ya sisi wanasiasa kuwa lugha ya Kiswahili ni bora na elimu ya shule za kata ni bora sana. Hakuna mwana siasa wa zama hizi ambaye mtoto wake anasoma shule ya kata au anasoma masomo ya msingi kwa lugha ya Kiswahili. Usahili au Interview za sasa anayejua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaosifia kiingereza cha awamu ya Sita walisifia kiswahili cha awamu ya Tano

    Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha. Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na matatizo ya wananchi nakufungua mjadala wa kiswahili.Wasiojua kiswahili wakatuamunisha kutumia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza

    Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa. Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Majibu yenu Great Thinkers ni Muhimu.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  12. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Sensa na Idadi ya wanaojua Kiingereza nchini Tanzania

    Sensa inakuja hivi karibuni, Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha. Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili? Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza. Je...
  13. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Ikulu kwa lugha ya Kiingereza za nini wakati sisi ni Waswahili asilia?

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeibuka na mfumo mpya wa kujulisha umma Serikali inayoyafanya kwa njia ya Kiingereza. Hii imeminya umma usiojua Kiingereza kutojua yanayoendelea nchini Tabia kama hii naona ni bora Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais. Zuhura Yunus atambue kuwa kwa sasa...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  15. t138

    JamiiForums Tanzania Why do you learn English? Kwanini unajifunza Kiingereza?

    Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language. Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatumia msemo wa Kiingereza "If you can’t convince them, confuse them"

    Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa Chadema wao walichokuwa wanafanya ni kuchochea kuni, kuna waliokuwa wanampaka mafuta Ndugai kwa...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitabu cha Muongozo wa Utoaji Haki za Wanawake kimeandikwa kwa Kiingereza

    Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k. Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini familia masikini zinaamini kujua Kiingereza tu ndiyo kuelimika wakati zinazojiweza zinaamini kwenye maarifa makubwa kitaaluma?

    Kuna Mzazi (Masikini au Mnyonge) Mwenzangu Chumba cha Pili tu nimetoka kumuamlia asimchape mwanae kwakuwa hajui Kiingereza huku akimwambia kuwa ni bora Afeli masomo yote ila siyo Kiingereza ambacho kwake ndiyo Ishara Kuu ya Mtu Msomi. Cha kushangaza sasa huyu huyu Mwanae asiyejua vyema...
Back
Top Bottom