Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
wakuu salam

Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english.

Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini.

Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
 
Sijaelewa shida yako lakini VLC ni mwisho wa matatizo ya autocaption.pia ikishindwa kabisa inakupa fursa ya upload File la caption tafta playstore VLC for android
 
wakuu salam

Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english.

Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini.

Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
Tumia vidmate
 
Back
Top Bottom