Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
731
2,869
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania!

Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa!

Daily news.jpg


Hatari sana hii!
 
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania!

Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa!

View attachment 2746445

Hatari sana hii!
Usitegemee kuona LIKUD akikujibu kwani tatizo lake Kubwa na linalomsumbua miaka nenda rudi ni kutokujua Lugha hi ya Kiingereza na kidogo tu anachokibahatisha no kile cha Darasa la Tatu.
 
Lakini hizo alama ' ' labda kuna jambo amelikusudia. Pia ukisema uweke the inafanya space iwe ndogo
 
JF hua hawakosoi sana inapokosewa lugha ya Kiswahili ila ukikosea lugha ya mkoloni,utawaona mpaka wazungu wa Nzega wanakuja kwa spidi ya sauti kukutolea povu.
Hii inadhihirisha kuwa kuna watu bado ni watumwa wa kifikra, wakidhani kuongea au kuandika kizungu kwa ufasaha ndio kuelimika!!!
kiswahili kinaharibiwa mara kadhaa lkn kama vile hawaoni ila kizungu kikosewa kidogo tu unadhani limefanyika kosa la jinai.
 
Msitetee ujinga, ukianzisha gazeti la kiingereza hakikisha una watu wanaojua kiingereza. Hilo gazeti linategemewa kusomwa na mabalozi na foreigners tofauti tofauti, huwezi kukuta gazeti la Kenya linaandika upuuzi kama huo. Hiyo ni mistake kubwa sana. Na wote wanaotetea huo upuuzi watakuwa walawale English ya kuungaunga, kwa kuongea hivyo ni sawa tu ilimradi ujumbe ufike ila kuandika kwenye gazeti kubwa linalosomwa Africa mashariki na duniani kote ni kosa kubwa, kama ni gazeti langu namfukuza au kumsimamisha kazi mhariri. "No one is above law",= "No one is above the law". Tusitetee ujinga, ni kosa kubwa sana.
 
hayo ni makosa ya kiuchapaji ambayo yanaweza kutokea kwa lugha yoyote ile.
Ila kwasababu ww ni mtumwa wa kizungu ndio maana umeona kama vile kosa la mauaji
unajua uchapaji? Bora ungesema typing error, mchapaji huchapa chochote anacholetewa yeye anachoangalia ni final production. Kwa magazeti ya kiingereza hapa Tanzania Daily News wako vizuri ila hapo wamechemka kwa kuandika kiingereza chenye matege. Inaelekea mwandishi/sub editor ni mgeni kwenye ajira na hana uzoefu wa kiingereza/english grammer/sarufi ya kiingereza
 
Above law - juu ya sheria.
Above the law - juu ya sheria husika au tajwa.
Hakuna kitu kama hiki, rudi shule. Ingia google tu. Hapa ishu sio Above law, ishu ni huo msemo wa kiingereza. Ni "No one is above the law", si vinginevyo. Hiyo ni grammar, huandiki tu kama vile unapiga story mtaani. Kwenye kuongea sawa unaeleweka tu kwamba hujui, ila kuandika gazeti kubwa kama daily news, BIG NO.
 
unajua uchapaji? Bora ungesema typing error, mchapaji huchapa chochote anacholetewa yeye anachoangalia ni final production. Kwa magazeti ya kiingereza hapa Tanzania Daily News wako vizuri ila hapo wamechemka kwa kuandika kiingereza chenye matege. Inaelekea mwandishi/sub editor ni mgeni kwenye ajira na hana uzoefu wa kiingereza/english grammer/sarufi ya kiingereza
Wapo wanatetea ujinga tu, sababu kiingereza chao ni hichohicho. Kama unakosea grammar kwenye kichwa cha habari, huko kwenye maelezo kamili itakuwaje!?
 
Kukosea kupo jamani, hakuna mkamilifu, kiswahili chenyewe tunakosea, sembuse hii lugha ilyokuja kwa meli?
 
Msiteree ujinga, ukianzisha gazeti la kiingereza hakikisha una watu wanaojua kiingereza. Hilo gazeti linategemewa kusomwa na mabalozi na foreigners tofauti tofauti, huwezi kukuta gazeti la Kenya linaandika upuuzi kama huo. Hiyo ni mistake kubwa sana. Na wote wanaotetea huo upuuzi watakuwa walawale English ya kuungaunga, kwa kuongea hivyo ni sawa tu ilimradi ujumbe ufike ila kuandika kwenye gazeti kubwa linalosomwa Africa mashariki na duniani kote ni kosa kubwa, kama ni gazeti langu namfukuza au kumsimamisha kazi mhariri. "No one is above law",= "No one is above the law". Tusitetee ujinga, ni kosa kubwa sana.
Unaita wenzako wajinga? gazeti la Mwananchi hasa upande wa mtandao linasomwa na Africa Mashariki yote na dunia hebu fungua tu sehemu yeyote usome hadi mwisho utagundua makosa yapo.
Message sent acha kuita wenzako wajinga.
 
Hapo hakuna makosa yoyote!! Kuna wataalamu wa kiingereza na waandishi wa habari ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom