kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania 23% tu ya wanafunzi ndiyo wanamudu lugha ya kiingereza kidato cha kwanza sekondari

    Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mgeni Mkubwa akitua tuongee nae Kiingereza cha Kuzungumza na siyo cha Kuandikiwa au kusaidiwa na Mkalimani

    Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sala ya toba kwa kiingereza: Ukiiomba kwa kumaanisha, unaokoka!

    If you want to accept Christ as your Savior and turn from your sins, you can ask Him to be your Savior and Lord by praying a prayer like this: "Lord Jesus, I believe you are the Son of God. Thank you for dying on the cross for my sins. Please forgive my sins and give me the gift of eternal...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Somo la Kiingereza kwa shule za msingi lifutwe ama lianze kufundishwa tangu awali

    Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla. Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe tu, wanafunzi wajifunze mambo mengine ya muhimu. Atakayehitaji atajifunza kwa wakati wake hata...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vifupi(aka) vya majina ya kiingereza na kiswahili.

    William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti ............................................................
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa. Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ila elimu yetu hii; Mungu atusaidie tu. Sasa hivi ni mwendo wa kugomewa tu kwanini watoto hawazungumzi Kiingereza!!

    Hadi tarehe 31.3.2023 watoto wote wa f1 inabidi wajue kiingereza.....lazima! Sasa hivi kuna maufuatiliaji yanayofanyika karibu kila siku tangu tarehe 9 zilipofunguliwa shule na moja ya jambo kubwa linaloangaliwa huko ni uzungumzaji wa kiingereza. Matokeo mabovu ya Form 2 ya 2022 yamechangia...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

    1. Ubwabwa 2. Wali 3. Pilau 4. Uji wa mapande 5. Mchele 6. Mpunga 7. Chuya 8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
  14. madaili

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga. Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary). Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

    Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit' Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready' Si unajua...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kwa Wanaowania Ubunge wa EALA sasa ni ushindani na madoido ya kuongea Kiingereza tu, vichwani hakuna kitu

    Naomba miaka ya baadae (mbeleni) huko nje ya kuwataka Wagombea wawe na Elimu Kubwa ila pia wawe Wanapimwa kama ni Werevu Kiuhalisia kwani kuna tofauti Kubwa mno kati ya kuwa Msomi (Intellectual) na kuwa Mwerevu (Intelligent) lakini bahati mbaya kwa Tanzania yetu Msomi anajumlishwa kuwa nae ni...
  17. Ali Nassor Px

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto. Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu za kufundishia somo la Kiingereza

    Habari wakuu, Jamani naomba msaada mbinu za kufundishia somo la Kiingereza shule za sekondari hasa za kata.
  20. V

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya lugha ya Kiingereza katika kufundishia na kujifunzia Tanzania

    LUGHA NI NINI? Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zilizokubalika na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano. Tunaposema sauti za nasibu tunamaanisha nini? Ukweli ni kwamba hakukuwa na kikao maalumu kilichokaliwa na watu na kuteua sauti ambazo ni lugha hivyo basi ni sauti za...
Back
Top Bottom