kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mafumbo ya Kiingereza njooni hapa

    "What has 4 letters, Sometimes has 9 but Never has 5.?" Leteni majibu hapa!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Shule zetu zinazalisha waongea Kiingereza tu, hakuna critical thinking ability. Skills na competency ni zero

    Umenisikia na huo ndio ukweli, kuna siku nikipata nafasi nitachambua the current paradigm shift ya focus ya elimu yetu kuanzia kindergarten to Universities madhara yake tunayayaona leo na tutakayopata miaka ijayo. Ni kweli kabisa focus ya shule zetu hasa hizi za English medium na ndizo zilizo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali haitaki watoto wa Masikini wajue lugha ya Kiingereza?

    Hivi kuna mtu asiyejua umuhimu wa mtoto kufahamu lugha ya Kiingereza katika karne hii? Kuna mtu asiyefahamu kuwa shule za St. Kayumba ni kwa ajili ya watoto wa masikini? Unajua kwa nini miaka ya nyuma vigogo wengi walikuwa wakiwapeleka watoto wao shule za Kenya? Kwa asiyefahamu: 1. St. Kayumba...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

    Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana. 2. Ingekuwa na watumiaji wengi...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Kimarekani chamkanganya Ruto

    Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American accent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nimekataa kuwa miongoni mwa wasiojua kuongea Kiingereza kwa unyoofu

    Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5. Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado wanajifunza, pamoja na kuwa ni watu wazima na wasomi. Kwenye mtandao wa kijamii wa Kimataifa wa Quora, kuna...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kujitetea kwa kutokujua Kiingereza. Tukubali kuwajibika

    Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha? Daudi alipofahamu kuwa kagundulika kuwa alimwua Huria baada ya kuzini na mke wake, hakujitetea kuwa ni mke wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutojua kuongea na kuandika vizuri kiingereza itamkwe kama Ulemavu.

    Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa kukifahamu vizuri kiingereza. Hii ni lugha kuu ya biashara duniani. HAINA MJADALA. Kuna wapuuzi wana...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni. Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aprili 23: Siku ya Lugha ya Kiingereza. Neno gani linakushinda kulitamka vizuri?

    Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni. Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Harmonize acha kuandika Kiingereza

    Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee. BADILIKA MKUU.
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

    19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES. https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini. Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology. Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  18. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania English Verbs (1 - Irregular Verbs), with translations and accurate guide to pronunciation

    Dear all I hope this list will be of use to teachers and students of English. Further details of the script used to illustrate pronunciation will be provided in a future post. Have a nice weekend. JM
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

    Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay. ANGALIA VIDEO HAPA Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza? Written by Mjanja M1 ✍️
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

    UZI UMEFUNGWA >> Kuna ushahidi usio na shaka kwamba ni kweli vitabu vinahusu mmonyoko wa maadili
Back
Top Bottom