Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya History na Kiingereza

HEARTZ

Member
Mar 16, 2012
62
13
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.

Naomba kutanguliza shukrani.
 
Jifunze namna ya kuwasilisha vitu vya msingi kama hivi, ukiendelea hivi hutakaa upate kazi kisha uanze kuilaumu serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom