Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,725
109,157
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu zilizopita.

Kwahiyo mlidhani huko Rwanda wanaongea Kiswahili chenu cha Kariakoo na mkajazana kwa Uwingi kama Magunia ya Mahindi ya MUYAMA ONE katika Mabasi yenu 30 na kwenda wakati Wenzenu wanaongea Kifaransa msichokijua kabisa na Kiingereza ambacho Kinawatesa sasa huko Ugenini Israeli ya Afrika Rwanda?

Mashabiki wa Simba SC wanakubalika na wanaheshimika nchi zote wanazoenda kwakuwa kuanzia Wachezaji, Mashabiki na Viongozi wote wanaongea vyema kabisa Lugha ya Kiingereza tofauti na Wapuuzi Waliofurika Kigali Rwanda kumbe Kiingereza kinawapa shida na sasa Madereva wa Taxi wanawapiga tu kwa Kuwatoza Gharama ya Juu kwa safari fupi fupi tu za Viunga vya Jiji la Kigali.

Kudadadeki......!!
 
wameyakanyaga, kuna watu watauza mtandao wa tigo kupata hela za nauli za kurudia nyumbani just wait
 
Kihaya hawajui, kiangaza hawajui, kinyambo hawajui, lughanda hawajui, lunyankole hawajui, french sifuri, English sifuri, what a foolish group of travellers, they should have planned one member in group of 5 who at ajogela katono kinyarwanda, lunyankole and, kihaya, wanjii banange the group misses bayaye like we the Simba SC fans, Nguvu moya 🤣🤣🤣🤣
 
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu zilizopita.

Kwahiyo mlidhani huko Rwanda wanaongea Kiswahili chenu cha Kariakoo na mkajazana kwa Uwingi kama Magunia ya Mahindi ya MUYAMA ONE katika Mabasi yenu 30 na kwenda wakati Wenzenu wanaongea Kifaransa msichokijua kabisa na Kiingereza ambacho Kinawatesa sasa huko Ugenini Israeli ya Afrika Rwanda?

Mashabiki wa Simba SC wanakubalika na wanaheshimika nchi zote wanazoenda kwakuwa kuanzia Wachezaji, Mashabiki na Viongozi wote wanaongea vyema kabisa Lugha ya Kiingereza tofauti na Wapuuzi Waliofurika Kigali Rwanda kumbe Kiingereza kinawapa shida na sasa Madereva wa Taxi wanawapiga tu kwa Kuwatoza Gharama ya Juu kwa safari fupi fupi tu za Viunga vya Jiji la Kigali.

Kudadadeki......!!
Ahaaaaaa
 
Kihaya hawajui, kiangaza hawajui, kinyambo hawajui, lughanda hawajui, lunyankole hawajui, french sifuri, English sifuri, what a foolish group of travellers, they should have planned one member in group of 5 who at ajogela katono kinyarwanda, lunyankole and, kihaya, wanjii banange the group misses bayaye like we the Simba SC fans, Nguvu moya 🤣🤣🤣🤣
Akili hiii Kubwa waitoe wapi Mkuu?
 
Kiukweli Alex wa clouds ajasema hvo kasema tatizo wenyeji wao yaani wanyarwanda kwa kiasi kikubwa wanaongea kifaransa na kinyarwanda awaongei kingereza hiyo ndio changamoto wewe umemuekea maneno yako
Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau na kuwajibu hovyo hapa JamiiForums mnakasirika.

Nimemnukuu Mtangazaji wa Clouds FM Yahaya Njenge ( alias ) Mkazuzu aliyeko Kigali Rwanda akiongea kwa Simu moja kwa moja na ndiyo Kasema kuwa moja ya Changamoto ambayo Mashabiki wengi wa Yanga SC walioenda Rwanda wanaipata ni Kuzungumza Lugha ya Kiingereza hasa wanapokuwa Wanakodi Taxi kwa mizunguko.

Bado hujachelewa Kuniomba Radhi kwa kusema GENTAMYCINE nimeleta Taarifa ya Uwongo na kama kuna Kitu huwa najiamini nacho na kinanipa Kiburi ni kuwa na Uhakika wa kile ninachokileta hapa JamiiForums sawa?

Huna Akili....!!
 
Watu wanalazimishwa ushabiki tu ila ukweli ubaki pale pale, Yanga wamefanya jambo kubwa sana. Kwenda na watu si chini ya 1500 sio kitu kidogo tofauti na walipenda na Basi 1 ambalo halijajaa. Wapeni maua yao na hiz blah blah hazisaidii kitu. Yale mazuri ya upande mwingine muyaige na sio kuyapuuza.
 
Wanyarwanda na kiingereza wapi na wapi?
They can't speak English, afadhali ya watanzania.
 
Watu wanalazimishwa ushabiki tu ila ukweli ubaki pale pale, Yanga wamefanya jambo kubwa sana. Kwenda na watu si chini ya 1500 sio kitu kidogo tofauti na walipenda na Basi 1 ambalo halijajaa. Wapeni maua yao na hiz blah blah hazisaidii kitu. Yale mazuri ya upande mwingine muyaige na sio kuyapuuza.
Tunatakiwa kuangalia Matokeo ya Uwanjani au Kusifia kwenda Kigali na Ndola kwa Gari Tatu au Gari Sabini?

Nikiwadharau kwa kutokuwa na Akili na Washamba mnakasirika wakati kumbe huwa nakuwa sahihi 100%.
 
Back
Top Bottom