kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au connection ya Kazi

    Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki. Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara. Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini vigogo wengi wa serikalini wakifukuzwa kazi huwa masikini ghafla

    Najaribu kujiuliza. Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa. Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake. Tatizo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Molel, si kila ziara lazima usimamishe mfanyakazi kazi ndiyo uonekane umefanya kazi. Kuwa mbunifu

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani. Pamoja ukweli kwamba hata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  5. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
  6. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
  7. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa miradi ya maji waonywa kufanya kazi kwa mazoea

    Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
  9. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

    ...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Q NET yarudi kivingine sasa, itakua BF Suma. Watanzania hakuna pesa rahisi jamani, fanyeni kazi!

    Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa sikieni kuna hawa wengine wanaitwa "BF SUMA" mzigo ni ule ule wamebadilisha bega tu. NARUDIA...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
  13. Degalatia

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi ya ualimu

    Habari, Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration. Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo Advanced Level...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dada angu anatafuta kazi mpishi mzuri wa vyakula vya mgahawani hotel

    Habari zenu wadau, Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali. Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
  16. majata

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  17. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

    Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA. Jiulize, je wewe ni: 1. Unayejali kazi (Professional) 2. Mwadilifu (Ethical) 3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude) 4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value). Jiandikishe TAESA.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi idara ya mauzo- Platnum credit Morogoro

    Habari, FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NA WATUWAZIMA ELIMU KUANZIA - KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA. PLATINUM CREDIT - KANDA YA MOROGORO Tunatangaza nafasi za AJIRA mpya idara ya MAUZO -KANDA YA MOROGORO ( GAIRO, MVOMERO,IFAKARA,KILOMBERO,MAHENGE/ULANGA,MALINYI,MLIMBA),Tunahitaji watu wenye uzoefu...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mpango aagiza watumishi 22 wa TRA kusimamishwa kazi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungmza na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Mameneja wa Mikoa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA na kuwapa maelekezo ya kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi, kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na kuongeza...
Back
Top Bottom