kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa kibarua.
Mara nyingi mtu akutenda kosa lazima yaangaliwe mazingira yakiyosababisha kosa na dhamira ya kutenda kosa. Ukiangalia namna usajiri ulivyofanyika, wachezaji aliowakuta Eymail, bench la ufundi alilolikuta, marefa waliochezesha mechi za Yanga, TFF, mashabiki waliomzomea Eymail wakati anafanya mabadiliko ya mchezaji na matokeo aliyopata kwenye mechi ile na Lipuli na mahojiano na mwandishi baada ya mechi ile ngumu na muhimu kwake na Yanga kwa ujumla, utangundua kuwa matukio yote haya yanawezakumfanya mtu yeyote aropoke chochote kwa yeyote popote kwa hasira au kwa furaha.
Adhabu ya mtu Kama huyu ingekuwa kulipa faini kubwa na kalipio Kama wanavyofanya duniani kote.
Hakuna shaka kuwa adhabu Kama hii ina mkono wa mtu nyuma yake au viongozi wamefanya uwamuzi wakati hawajatulia, au Kulikuwa na kosa jingine la nyuma watu walisubiri wapate sababu tu ya kumtukuza.