Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?.
Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi?
Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
Ndugu zangu
Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania.
Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
Habari za majukumu wana JF education?
Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu.
Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk.
Naomba msaada wa kutimiza...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria
iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi.
(2) Bunge au Baraza la...
Vitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini ushirikina naona kuwa Kinjekitile aliamini dawa yake itafanya kazi.
Hadi leo watu wanajikinga kwa...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4.
Chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam
Mawasiliano 0762 395595
Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏
Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele.
Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache.
Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
Na:
Mwesa, C.W
DODOMA.
31.12.2020
Ndugu watanzania wenzangu na wanachama wenzangu wa chama pendwa cha watanzania wote na Afrika kwa jumla, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa hakika tunayo mambo mengi ambayo kimsingi tumeyapitia kama taifa kwa jumla na ki-nafsi kila mmoja kwa nafasi yake. Hata...
Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo mengi hayakuwa yamefanya vizuri maana yeye alikuwa anatengeneza games za 2D wakati dunia ilikuwa...
Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu.
Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake
"Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii...
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.
0689052541
MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda.
Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.