kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  2. Granite

    JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  5. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
  11. K

    JamiiForums Tanzania PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi heshima kwenu! Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli. Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi awataka Vijana kuacha tabia ya kuchagua kazi

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana. Dk Mwinyi aliyasema hayo katika kilele cha matembezi ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2. Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
  14. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Ile floating bridge yenu haifanyi kazi?

    Likoni accident: Driver and conductor saved from sinking tour bus
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  16. Granite

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘Connection’, natafuta kazi CCECC au CRJE

    Wakuu wenye connection katika kampuni za kichina zenye miradi mbalimbali Mhandisi nakuja kwenu. Ninao uzoefu wa kutosha katika Site Supervision na Design, nimejitolea katika miradi kadhaa ya ujenzi wa Barabara na Majengo. Naweza kufanya kazi popote Tanzania na katika usimamizi mdogo na...
  17. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  19. Shamili benedicto

    JamiiForums Tanzania Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naamini umbea ukitofautishwa na Intelijensia tutapiga hatua kimaendeleo

    Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi? Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
Back
Top Bottom