Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema...
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
Habari za majukumu ndugu zangu wa jf?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa wilaya ya kyela. ninaishi (mbeya mjini)
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu (BAEd) kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha mwaka 2016. Nimetafuta kazi kwa bidii sana...
Ili hizo Mamlaka ndogo ziheshimike muda huu hata baada ya 2025, inabidi zianze kutekeleza majukumu yake kwa kufuata katiba ya nchi, sheria na kanuni na taratibu zilizojiwekea. Ni marufuku sasa kuendelea kuingiliwa na Wanasiasa au vyama vyovyote vya siasa.
Kumbuka hizi mamlaka ndogo ni Watumishi...
Yaan kazi yangu imenifanya nipate pisi kali kibao. Sijawahi kutongoza dem ile kisiriazi. Sijawahi kukosa/kunyimwa namba ya simu na demu. Musiniulize kwanini
Sasa hali hiyo imenifanya nimesahau kabisa kutongoza ile kawaida (yaani ile kutumiana vocha, picha, kusubiliana maeneo flan, kuambiana...
Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni.
Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika.
Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako.
Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira...
Happy new December 2020 month,
Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia tayari tegemea swali taja hapo juu.
Kuwa unafanaya kazi gani naikitokea ukataja wewe ni mzibua...
Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na watoa Huduma ama wayafanyie kazi maoni hayo au wawajibishwe.
Kutokana na dhana hiyo ya msingi...
Kama maada inavyojieleza ,hii ingesaidia kuwapa fursa zaidi vijana na kuchochea ari ya nguvu kazi na maendeleo zaidi,watu wangejiandaa mapema na kuwaachia vijana Nafasi ,pasi na kuwa na vijana wengi mtaani wasio na ajira rasmi ilhali wana taaluma mbalimbali na kuwa wategemezi zaidi.
Natamani...
Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv.
Updates
MAJINA YA WALIMU WAPYA
Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
diramakini.co.tz
Goli la Yanga SC lamng'oa kocha Azam FC
Diramakini
3 minutes
Baada ya ushindi wa Novemba 25, 2020 ambao Yanga SC iliuchukua nyumbani kwa Azam FC katika uwanja wao wa Azam Complex uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wachambuzi wa soka...
Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida.
Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado.
Nina ujuzi wa computer kiasi
Nmefundisha tuition
Nimechoma chips
Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie
Tel 0689052541
Mimi ni kijana wa Kiume na nimesoma kozi ya Bachelor of Technology in Laboratory Science kutoka DIT.
Ninaweza kufanya kazi kwenye kiwanda chochote kinachozalisha bidhaa au kusindika bidhaa kama mhakiki wa bidhaa hizo.
Lakini pia ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi zozote za utafiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.