hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  2. peno hasegawa

    Tanzania Mining Cadastre Portal ni mfumo wa kuisababishia nchi hasara badala ya faida

    Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili. Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  4. sychellis

    Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  5. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  6. Nsanzagee

    Serikali inaweza kuanisha hasara kwa magari ya Bagamoyo kuingia Tegeta? Huu mgomo mpaka lini?

    Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar! Maana yake nini? Je, Serikali imebaini...
  7. Mr Lukwaro

    Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

    🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu. TAFITI zilizofanywa na wataalam wa masuala ya afya na saikolojia ya binadamu zinaeleza endapo ukikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa madhara yake ni makubwa. Katika tafiti hiyo ya adolescent psychology research iliyofanywa mwaka 2016 na J...
  8. Mr Lukwaro

    Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  9. BARD AI

    NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  10. BARD AI

    Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  11. Etwege

    Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

    1.Miezi miwili tu baada ya hiyo tarehe kampuni ya symbion ililipwa zaidi ya billioni 349 na mafisadi kuachiwa licha ya bunge kutoa azimio symbion wasilipwe na waliohusika wafungwe. 2. Licha ya bandari ya Dares salaam kuboreshwa hadi kufikia meli kubwa ya mita 300 kuweza kutia nanga hapo lakini...
  12. Omra27

    Huduma majengo ya Serikali ni mbaya na yanaendeshwa kwa hasara

    Sidhani kama Serikali imelenga kufanya biashara kwenye miradi yake hasa majengo yake. Mfano jengo la NHC HOUSE posta wameweka gharama kubwa sana kwa wapangaji ama wafanyabiashara kiasi kwamba jengo hili ofisi nyingi hazina watu. Nafikiri serikali ingefanya mapitio kwenye ofisi zake kutazama...
  13. J

    Nyanya Zinapatikana Kwa Wingi Sana Sokoni Ilala

    Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri. Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku. Akizungumza...
  14. The Boss

    Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  15. R

    Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  16. Okrap

    Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

    Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
  17. mrdocumentor

    Zipo faida na hasara za kutofungamana na upande wowote

    Toka tupate uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na sera kuu ambayo inaendelezwa hadi sasa ambayo asili ya sera hiyo ni (NAM) Yaani Non Aligned Movement, sera hii ilikuwa imetawala Sehemu kubwa ya dunia hususan katika Bara letu la Afrika na nchi za mashariki ya kati Kwa nchi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Anaandika, Robert Heriel Acheni kabisa, yaani kuna mtu kwenye mahusiano ukiachana naye hesabu umekula hasara ya Maisha. Achana na hawa wajingawajinga wanaowaza uchi wao, uchi kitu gani bhana! Uchi hata Malaya anao. Kwani ni Mwanamke gani asiye na uchi? Kwa kweli uzoefu wangu Mwanamke Hana...
  19. peno hasegawa

    Wasomi wenye kufahamu Uchumi wa buluu maana,faida na hasara zake Tafadhali?

    Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
  20. DELETED ACCOUNT

    Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
Back
Top Bottom