Asilimia 72 ya wapalestina waiunga mkono Hamas kupigana na Israel

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,194
10,929
Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel.

Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema Hamas ilifanya sahihi kushambulia Israel mnamo oktoba 7.

Hayo ni matokeo ya kushangaza ukitilia maanani kuwa yalifanyika katika kipindi cha wiki moja ya kusitishwa vita na kubadilishana mateka kwa wafungwa kwa kuzingatia kuwa wapalestina hao walikuwa wameshudhudia yale mapigo makali ya Israel yaliyokuwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu na kubomolewa kwa majumba yao sambaba na kuhamishwa kutoka maeneo yao.

Palestinians support Hamas decision to go to war with Israel, survey suggests, with no political solution on horizon

1703309901761.png

Wanaoishi gaza au nje ya gaza?
Utafiti umefanyika kote ukingo wa magharibi na Gaza kwenyewe.
si rahisi kupiga kura ya kuwalaani Hamas wakati makombora yanayoua watu yanarushwa na Israel kwa kiburi cha hali ya juu.
nani atapiga kura ya kuwalaani Hamas wakati anaona malori ya chakula na maji yamezuiliwa kuwafikia na askari wa Israel
 
Mazayuni yameshashindwa vita
 
Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel.
Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema Hamas ilifanya sahihi kushambulia Israel mnamo oktoba 7.
Hayo ni matokeo ya kushangaza ukitilia maanani kuwa yalifanyika katika kipindi cha wiki moja ya kusitishwa vita na kubadilishana mateka kwa wafungwa kwa kuzingatia kuwa wapalestina hao walikuwa wameshudhudia yale mapigo makali ya Israel yaliyokuwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu na kubomolewa kwa majumba yao sambaba na kuhamishwa kutoka maeneo yao.

Palestinians support Hamas decision to go to war with Israel, survey suggests, with no political solution on horizon

View attachment 2850385

wapalestina wengi hawaungi mkono hamas ila wanahofia usalama baada ya kuikosoa Hamas , aliongea aliyewai kuwa mtoto wa kiongoz wa hamas , kuikosoa hamas kunaeza pelekea kifo chako , maana utawindwa na makundi ya kigaidi mashariki ya kati kote , so wengi wanajifanya kuwaunga mkono hamas kinafki , hakuna mtu anapenda kutembea kabeba watoto na maiti ya mkewe kisa vita ya kijinga iliyoanzishwa na hamas
 
Back
Top Bottom