Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
Wakurungwaaa najeee?
Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako.
Je, kuna faida au hasara yoyote ya kuwa na mahusiano ya namna hii?