Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari Wadau.

Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.

Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.

Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.

Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.

Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.

Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye TV.

Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawahi kukosa kutazama nachokitaka.

Sababu ninatumia unlimited internet.

 
Back
Top Bottom