Jifunze kuhusu DeX na CeX pamoja na hasara na faida Zake katika Cryptocurrency.

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google.

Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na hatarishi.

Matumizi ya Cryptocurrency yamewapa faida vikundi vya watu mbalimbali ikiwemo binafsi pamoja na magaidi.

Vikundi kama Hamas viliweza kutumia cryptocurrency kufanya usafirishaji wa pesa kwenda au kutoka sehemu mbalimbali, hii pia imehusisha na vikundi vingine vingi ambavyo hatuvijui.

Bila kufahamu udhaifu wa CeX (Centralized Exchange) ambako mtumiaji wa Crypto atahitaji kujaza taarifa take binafsi na kuweza kufanya miamala ya Crypto, Mfano aliyekuwa CEO wa Binance CZ ametuhumiwa na kukili kwa kuruhusu mtandao wake kutumika na Vikundi kama Hamas kufanya Miamala, na ikumbukwe katika ecosystem ya crypto CeX kama binance inamilikia zaidi ya Asilimia 50% za cryptocurrency.

Hata baada ya CZ kukili na kuconfirm he's guilty zaidi ya $900M za users wa Binance wakuwithdraw within 24 hours.
Usalama wa CeX umekuwa ni mdogo sana kwasabu hata ukifanyya Miamala ambayo ni hatarishi Gov department zinauwezo wa kukutrace kwasabu ulijaza taarifa zako binafsi wakati unajisajili. Kwahiyo there's no Anonymity with CeX (Centralized Exchange)

DeX (Decentralized Exchange)
DeX Bado zimeonekana kuwa na Anonymity kubwa kuliko CeX kwasabu mtumiaji haitaji kujaza taarifa binafsi isipokuwa kudownload app na kufanya Miamala ya aina zote japo kama ni Miamala hatarishi wamiliki wa crypto hususani ambazo ziko pegged kama vile USDT wanauwezo wa kuifreeze address husika hata kama ilitumika DeX, lakini CeX wanafreeze account,

Apps za Dex zipo nyingi mfano Trustee, Trust wallet (owned by binance) n.k
Mwaka huu Tether USDT wamefreeze wallet iliyofanya scam ya $20M japo nao USDT Tether ni biggest scam ever nitaongelea kwenye thread inayofata.

Let mwendelezo #Snipa
 
Back
Top Bottom