Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,193
- 10,928
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.
Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu ambacho hakikuwepo Gaza kabla ya vita.
Vyakula kwa ajili ya wapalestina hao vimejaa kwenye magari ndani ya nchi ya Misri lakini ni lazima vipate ruhusa ya Israel kuingia eneo ijapokuwa Gaza haijapaka na Israel.
Kuna athari gani iwapo Misri itaanza kuchukua maamuzi ya kupeleka misaada Gaza bila kuomba ruhusa ya Israel na kwa upande mwengine nani anayesimamia kutekelezwa kwa matakwa ya Israel ndani ya Misri.