fursa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Changamkieni Fursa za AJIRA Kiwanda cha sukari Turiani-Mtibwa May 2020

    Kiwanda cha sukari Mtibwa Turiani kinatangaza fursa za ajira ya ukataji miwa kwa watanzania wenye umri kuanzia miaka 20-35, sifa za mwombaji awe ni mtanzania, aweze kufika kiwandani kusajiriwa akiwa na vitu vifuatavyo paspot size nne, kitambulisho cha mpiga kura au cha taifa, aje na kadi ya ATM...
  2. B

    JamiiForums Tanzania NIMR wapeni fursa mapema wagunduzi wengine wa Tibalishe

    Tunawapongeza NIMR kwa hatua mliyofikia. Isipokuwa nina ushauri kwenu, tibalishe/dawa za wenzenu mzifanyie utafiti au majaribio mapema. Sio vizuri kuziacha muda mrefu hadi pale mtakapoifikisha ya kwenu katika hatua nzuri. Kama mlivyosema ya kwenu ni rahisi kuharibika (angalia video chini) na...
  3. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

    wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa. Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Fursa za kipindi hiki cha janga la Corona

    Wanajamvi najua corona inatuumiza kwa namna moja au nyingine. Sio lazima uwe mgonjwa ili kuathirika na corona. Kuna watu kupitia corona wamefunga biashara nk Lakini niwaambie wale wote wenye hela ambao wanaogopa kuwekeza kwa kipindi hiki cha corona, japo mnaogopa kuwekezalakini angalieni fursa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Coronavirus - Fursa nyingine itupite bila kuitumia ipasavyo.?

    Gonjwa la COVID 19 limewatia hofu watu wengi duniani kote, na wenye uwezo watalichukua kama changamoto na kulifanyia kazi. Ninay hakika Coronavirus atapata m-arobaini wake mda si mwingi. Atakuwa gonjwa la kawaida tu kama magonjwa mengine, kama ataamua kubaki katika jamii. Bado kuna uwezekano...
  6. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Walioshinda kiuchumi siku zote waligeuza changamoto kuwa fursa

    Je, katika wakati huu wa hili gonjwa umeona fursa gani? Zingatia yafuatayao: Endapo serikali ikiamuru kila raia avae barakoa, hii inamaanisha kwamba wafanyabiashara waanze kujiimbikizia makontena ya barakoa kwa matumaini kua watakuja kuuza hapo baadae kidogo? Endapo serikali ikafunga mipaka...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Corona: Fumigation ni Bonge la Fursa, njoo tupige kazi

    Kila janga huja na Neema zake, poleni wote mnaouguliwa na kuuguza! Kwa sasa uhitaji wa Fumigation hauepukiki! Maofisi yanatakiwa kuwa fumigated, mabasi, nyumba za Wageni, mahotel na kwingine. Si kila dawa inafaa kutumika kwa fumigation, tupia uzoefu wako. Kizuri kula na nduguyo! Karibuni
  8. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kipindi hiki cha mpito cha Corona, Walimu changamkieni hii fursa

    Wengi tunatambua kuwa kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana kutokana na hili janga la Corona virus. Hii kitu imegusa sehemu nyingi sana. Naomba niweke wazo langu huenda likasaidia wachache nataka niguse sekta ya elimu kuanzia shule za awali mpaka sekondari. Nimetafakari kwa kipindi hiki...
  9. cantona55

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuuza magazeti kwa kilo

    ......
  10. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Naomba fursa ya kuonana na Pascal Mayala

    Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze...
  11. Jankidust

    JamiiForums Tanzania Fursa Biashara ya supu na chapati

    Habari wakuu, Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k). Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana...
  12. Kukaja Kununu

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya fursa

  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Afrika yapokea msaada wa Testkits 1.1 Mil za Corona Kutoka Ali baba: Na sisi tuwahi hii fursa

    Ni vizuri Kushtuana wakuu. Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo. Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
  14. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Kozi zenye fursa kubwa ya ajira na kujiajiri katika sekta ya Bahari

    Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari. 1.Marine Survey Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  16. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Tahadhari:Corona imekuwa fursa kwa matapeli ,wanajifanya wametoka Wizara ya afya wanataka kupuliza dawa ya Corona na kuiba majumbani, kuweni makini

    Habari wana Jamvi, Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19. Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha . Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima. Lakini kwa wenzetu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali za kufanya mtaani ili tusogeze maisha

    Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online. 1. Mobiwork 2. Geopoll Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Madaktari 1,000 mtakaopata fursa ya Ajira nendeni pembezoni kupeleka huduma za kiweledi

    Nimshukuru kwa moyo wa dhati Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutambua mchango wa madaktari na uhitaji wa wananchi kupata huduma zenye weledi. leo hii ameagiza madaktari 1000 kuajiriwa...hili sio jambo dogo kiuchumi kwani wage bill katika sekta hii moja tu ni kubwa. Jukumu la...
  19. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
  20. Cvez

    JamiiForums Tanzania Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

    Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
Back
Top Bottom