Madaktari 1,000 mtakaopata fursa ya Ajira nendeni pembezoni kupeleka huduma za kiweledi

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Nimshukuru kwa moyo wa dhati Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutambua mchango wa madaktari na uhitaji wa wananchi kupata huduma zenye weledi.

leo hii ameagiza madaktari 1000 kuajiriwa...hili sio jambo dogo kiuchumi kwani wage bill katika sekta hii moja tu ni kubwa.

Jukumu la madaktari watakaopewa fursa ni kuhudumia vilivyo wananchi haswa maeneo yasiofikika kirahisi.hii inamaanisha Serikali ya CCM imedhamiria kifikisha huduma bora za Afya kivitendo...kwanza kwa kujenga miuondombinu ya Afya na sasa kwa kupeleka wataalamu.

Madaktari tutendee haki kiapo cha Appolo na kuhakikisha watu wanapona na kusaidika.

VIVA JPM ...HAPA KAZI TU
 
ni sekta ya wazalendo
wazalendo tumejaa kila mahali mpaka huku kwenye sekta ya sheria tupo.

Mh. Rais alitoa ajira mia mbili na hamsini kwa mahakama siku ya sheria.

Na hawa elfu moja , inakuwa ajira elfu moja na miambili na hamsini kwa hesabu za haraka haraka.
 
Ni kweli atatoa ajira 1,000 au fix tu? Maana huyo jamaa kwa fix, sijawa kumuamini kwa lolote. Ili niweze kuamini, nataka hao watakaoajiriwa tuone List ya majina yao matatu kwenye gazeti, na sehemu walizopagiwa ili tujiridhishe. Kinyume na hapo ni uongo kama uongo mwingine.
 
wazalendo tumejaa kila mahali mpaka huku kwenye sekta ya sheria tupo.

Mh. Rais alitoa ajira mia mbili na hamsini kwa mahakama siku ya sheria.

Na hawa elfu moja , inakuwa ajira elfu moja na miambili na hamsini kwa hesabu za haraka haraka.

Kuna kutoa ajira na kutangaza kutoa ajira, hayo ni mambo mawili tofauti.
 
Ulishawahi kuona Agizo la Rais Magufuli halitekelezwi?
JPM kwa kucheza na akili za watu,yaani jambo walishafanya tathimini wakaona wana uwezo wa kuajiri madaktari 1000 kati ya 2700 walioko mtaani bila ajira!Sasa eti anajifanya ni maamuzi ya hapo hapo,anjiulizisha kwa waziri kama kuna hela za kulipa madaktari 1000 ili awape ajira,waziri naye chap chap akasema ndiyo!!!
Jamaa anapenda maigizo sana!
 
How about Medical Labaratory graduates,Pharmacist,Nurses??

ila kwa sababu hii ni bongo muvi acha tupite kimya kimya
 
Back
Top Bottom