fursa

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

    Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji? Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kubwa la kukodi

    Nahitaji Trucks kwa ajili ya kubeba korosho kutoka Mtwara Nachingwea, Lindi kuja Dar es Salaam tuwasiliane 0754308621
  4. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Simbachawene na Jafo waanika fursa mradi wa Mto Msimbazi

    UELEWA zaidi juu ya mradi wa ujenzi wa Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam unatakiwa kutolewa ili mradi huo ufanikiwe. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene, wakati wa kikao cha kupokea wasilisho la mpango wa fursa za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuuliza upewe fursa, sio kufanikiwa ukipewa fursa!

    Salaam Wanajukwaa, Nimekuwa nikiwasikia na wakati mwingine kuwaona baadhi ya watu wakiwa na mipango ya kuhamia maeneo fulani kiutafutaji na hivyo kuuliza wenyeji kuhusiana na fursa wanazoweza kuzipata huko! Kwa upande wangu najaribu kujiuliza usahihi na msaada anaoweza kuupata mtu huyo kwa...
  6. zema21

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri Inafahamika kuwa ukosefu wa ajira ni tatizo si kwa Tanzania tu bali hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani. Kwa hapa Tanzania limekuwa si tatizo bali ni janga kubwa ambalo hakuna anayelitafutia ufumbuzi wala kulitupia macho. Itakumbukwa kuwa siku za nyuma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama pekee Tanzania chenye kutoa fursa sawa kwa wote kuchaguliwa nafasi za uongozi, vyama vingine ni ubabaishaji tu unafanyika

    Wakati CHADEMA ikiwa inajiandaa kufanya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama chao, wametoa orodha ya wagombea uenyekiti kanda mbalimbali za kichama. Orodha hiyo imenishangaza katika mambo mawili: la kwanza, orodha ya wagombea wote wa kanda zote 10 ni waheshimiwa kwa maana ya kwamba wana nafasi...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndiyo fursa pekee kwa wapinzani kuidai Tume mpya ya uchaguzi iliyo huru hadi ipatikane

    Wakati dunia nzima ikishuhudia uhuni wa hali ya juu, unaofanywa na serikali ya CCM katika kuekekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu, vyama vya upinzani nchini, wananchi walio wengi pamoja na viongozi wa dini, wameendelea kutoa mwito kwa Serikali...
  9. kabila01

    JamiiForums Tanzania Pata fursa ya kilimo katika bonde la Kalenga mpaka Kiwele

    Nitumie nafasi hii kuwakaribisha wapambanaji wenzangu tusiokata tamaa katika kilimo. Bonde hili lipo KM 10 tu kutoka Iringa Mjini usafiri wa daladala na nauli ni sh 500 tu. Unaweza kukaa Iringa Mjini asubuhi unaenda shamba jioni unarudi. Ukiamua kukaa kule poa mazingira mazuri umeme upo na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za kimataifa: Vipaumbele vya kujenga reli na fursa za kibiashara

    Moja ya miradi mikubwa ambayo serikali ya awamu ya TANO unatakiwa kupongezwa ni connection ya mradi wa Reli ya mwendokasi na mradi wa kufua umeme wa Nyerere hakika ni perfect kwa sababu ya value for money ya miradi yote miwili! 1. Umeme itumike wapi!? 2. Kutumia nguzo gani ili kupunguza fidia...
  11. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  12. aztec

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Wakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje.
  13. Mawio

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  14. Mawio

    JamiiForums Tanzania ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  15. Mawio

    JamiiForums Tanzania Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  16. Mawio

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used Landcruiser

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  17. Mawio

    JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  18. Mawio

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  19. Mawio

    JamiiForums Tanzania Nahitaji engine ya LandRover 110 - 300 series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  20. Mawio

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji used Landcruiser Hardtop

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
Back
Top Bottom