Afrika yapokea msaada wa Testkits 1.1 Mil za Corona Kutoka Ali baba: Na sisi tuwahi hii fursa

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,430
2,000
1584966997150.png

1584967091463.pngNi vizuri Kushtuana wakuu.
Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo.
Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.

 

Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
553
1,000
Yaani umaskini ni mbaya
Hivi kweli tunaomba kila kitu
Roho yangu inauma waafrika tunalaana gani??
Hill jini la kuombaomba nani katurushia??
Kwanini hii misaada wasiwapelekee Italy huko??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom