Corona: Fumigation ni Bonge la Fursa, njoo tupige kazi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,502
86,050
Kila janga huja na Neema zake, poleni wote mnaouguliwa na kuuguza! Kwa sasa uhitaji wa Fumigation hauepukiki!

Maofisi yanatakiwa kuwa fumigated, mabasi, nyumba za Wageni, mahotel na kwingine.

Si kila dawa inafaa kutumika kwa fumigation, tupia uzoefu wako. Kizuri kula na nduguyo! Karibuni
 
Niliona China wakati ule mambo yamewabana walikuwa wanapiga sana fumigation...
 
Kabla ya yote kaka naona badilisha hiyo avatar yako unasababisha mpaka sisi wadogo zako tukukosee heshima.

Nimejikuta nataka kuzoom sijui nachozoom ni nini.
 
Tungeweka nguvu hivi kwenye MBU nafikiri Malaria tungeiaga zamani sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unakumbuka kashfa ya mbu wa pale Jangwani? Walipandikizwa ili waue mbu wengine? Kilichotokea wote twakijua
 
Kabla ya yote kaka naona badilisha hiyo avatar yako unasababisha mpaka sisi wadogo zako tukukosee heshima.
Nimejikuta nataka kuzoom sijui nachozoom ni nini.
Hahaha Dada yangu, ombi lako ni amri kwangu. Hahahaha
 
Unakumbuka kashfa ya mbu wa pale Jangwani? Walipandikizwa ili waue mbu wengine? Kilichotokea wote twakijua

Hayo madhara ya kupandikiza ni njia isiyo sahihi kabisa kwani majaribio ya hivyo yanaharibu zaidi badala ya kutokomeza
Nakumbuka sana hilo na pia najua madhara yake ni kama kuweka samaki wakubwa kuwamaliza wengine
Lakini mimi naongelea kutokomeza kwa madawa ya kunyunyizia na sio vingine

Hivi tukilivalia njuga na kuweka bajeti kamili ya kupambana na hawa viumbe wadogo tunaowaona halafu kuwashirikisha mataifa yote ya Jirani na kusema enough is enough
Hatuwezi kweli

Mpwa hakuna kisichowezekana chini ya jua.
 
Back
Top Bottom