fursa

  1. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa waandishi /watunzi wa riwaya

    NAFASI YA KAZI *Mwandishi wa Riwaya na Simulizi za mapenzi* Wasiliana nasi kupitia *0764 872249*
  2. TDSF

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mafunzo ya bure ya ufundi kwa viziwi

    Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha ya alama. Mafunzo hayo ya miezi mitatu darasani na miezi mitatu mafunzo kwa vitendo, yamefadhiliwa...
  3. Majigo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jamii ina changamoto gani ambazo tukizibadilisha itakuwa fursa ya biashara?

    Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu inachangamoto gani zinazohitajika kutatuliwa, ambapo changamoto hizo hupelekea kupata fursa ya...
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tuligeuze wazo la mchina la kusambaza Bonanza nchi nzima kuwa fursa kwenye biashara

    Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  8. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania “Natumai watoto wa maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na Vyuo Vikuu bora”

    “Natumai watoto wa sehemu maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na vyuo vikuu bora” Alichosema hayo ni Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 63. Yeye ni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya juu ya wilaya ya Huaping, mjini Lijiang. Hii ni shule maalum, ambayo wanafunzi wake wote ni wasichana kutoka...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

    Na Malisa GJ Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni. Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
  12. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wa CCM tujitokeze kwa wingi kuchukua fomu za kugombea ubunge na udiwani 2020, chama kimetoa fursa

    Kidumu Chama cha Mapinduzi Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu ili kugombea nafasi za kuwakilisha wananchi katika ngazi ya ubunge na uduwani, nawahimiza vijana...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Vacancies at Swisscontact Tanzania

    TOR - Providing Support in Proofreading, Editing and Prepress VETA Labour Market Survey Reports Job Summary The programme is implemented and managed by Swisscontact INGO and works with public and private institutions including Vocational Education Training Authority (VETA). SET programme under...
  14. ubongokid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

    Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani. Nirudi kwenye mada kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kutumia fursa vizuri kwa Mnyika na Makene wanapokuwa na waandishi wa habari

    Vyama vya upinzani hasa Chadema kwa miaka karibia mitano kimekuwa kikipitia jahanamu ya dunia. Misukosuko mingi ya ndani na ya nje, mabadiliko ya uongozi n.k. Kosa kubwa linalofanyika kwa Chadema ni kushindwa kutumia fursa vizuri. Hakuna habari njema ya Chadema ambayo itatolewa na chombo...
  16. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Tuzitazame fursa za kiuchumi kipindi hiki cha Corona

    Ikiwa dunia inapitia kwenye mtikisiko mkubwa wa kiafya na kiuchumi baada ya kukumbwa na janga la corona. Tumeshuudia biashara, ajira, uwekezaji nk vikiporomoka. Lakini wanasema penye kila changamoto kuna fursa, tumeona baadhi ya fursa zilizojitokeza kwenye kipindi hiki kama ushonaji wa...
  17. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

    Berry farm vacancies 2020 Thank you for showing an interest in working on one of our fruit farms this summer. As a result of the business impact of COVID-19, we know many people are looking for work and we have numerous seasonal vacancies available on our farms up and down the country. From...
  18. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Kuna fursa gani za kibiashara pale Namanga Border kipindi hiki cha Corona?

    Wakuu, ni biashara gani inayoweza nitoa haraka kama nitaileta mpaka wa Namanga kwa sasa?
  19. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

    Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa. Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza zaidi. Sikuweka nia ya kupata chochote kwa mda wa short term. Niliamua kupeleleza sana hii biashara...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa?

    Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa ukiiangalia TZ katika kilomita zake za Mraba ni zaidi ya 900,000, hapo kilomita za Zenji bado hazijaingia , ukiwa unafanya safari unakutana na mapori mengi sana , mikoa mingine unakuta...
Back
Top Bottom