Mkuu wiki moja iliyopita nimepata magazeti ballo 20 za kg 20 kwa 25K@ aisee ss sijui mnatofautiana machimbo mnakoyatoa au vp,ila still najua bado hamko expensive sana.balo za kg 20 mnauzaje by tge way km nitahitaji???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

tunauza magazeti kwa jumla na rejareja, magazeti tunayouza ni yale marefu kutoka nje, sio ya hapa tanzania.na yamepekiwa kwa bando, bando moja la magazeti lina kilo 15. bei zetu ni za chini sana tena sana.

kilo 15 za magazeti ni 25,000 tu.. sehemu nyingi na watu wengi wanauzaga 35,000 hadi 45,000, ila sisi kwa kujali thamani ya mteja na kutokana na janga hili la CORONA tumeamua kupunguza bei, hadi 25,000 kwa kilo 15 za magazeti. tuna mzigo wa kutosha hata ukiwa unataka kilo 500, na ukiitahi kwa wingi{kwa jumla} tutakuuzia kwa 22,000 tu.

Tupo DAR ES SALAAM, pia tuna fanya derivery kwa wakazi wa dar wa mikoani tutakutumia kwa njia ya basi.

kwa mawasiliano piga/sms 0692477610

ahsanteni na karibuni sana.
Kwani kilo ya gazeti la nje ni tofauti na kilo ya gazeti la nchini? Hebu funguka ni nini hasa kinachokuwa nyuma ya haya magazeti ya nje wakati nchi inahimiza tutoe kipaumbele kwa vitu vyetu?
 
hayana tofaut kwa bei ila ya hapa nchini wafanya biashara weng awayapend kutokana na pale unapotumia magazet ya tz wino wa kwenye gazet hutoka na kubaki kwenye bidhaa hasa bidhaa zenye joto au maji maji, ila haya ya nje atavuji wino.
Asante kwa taarifa iliyonijuza kitu ambacho sikukijua. Nilidhania ni katika kutukuza tu vitu vya nje. Hata hivyo bado kuna kasoro ya kuchukulia magazeti ya nje kwa ujumla na ya ndani kwa ujumla. Hivi ni kweli magazeti YOTE ya nchini ni mabaya na ya nje YOTE ni mazuri? Lakini nimeelewa hoja yako.
 
Bei ya 40000 mpk 45000 ilikuwa kipindi kile mifuko ya plastic ilipopigwa marufuku, bt baada ya hii mifuko mbadala pamoja na ile laini myeupe maarufu kwa jina la mnazi inayokaa 200 kwa bei ya tsh 2000 imeshusha sna bei ya magazeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamua kuandika uzi huu kuhusiana na uuzaji wa magazeti kwa kilo, ni biashara isiyo onekana kuwa na faida ila ni moja ya biashara nzuri sana na faida yake ni hadi asilimia 40 ukiuza kwa rejereje, chukulia mfano mtaani kwenu kuna maduka mamngapi? Na je, kwa siku duka moja linaweza kutumia magazeti kilo ngapi kufungia bidhaa?

Mfano; mtaani kwako tu kuna maduka 10 kila duka kwa makadirio ya chini kabisa tuseme wametumia kilo tatu ya magazeti kufngia bidhaa, kwaiyo maduka kumi mara kilo 3 ni kilo 30 za magazeti zinatumika ndani ya mtaa wako tu hapo ujaenda mtaa wa pili,ya haya ni makadirio ya chini sana.

Kilo 30 za magazeti ukinunua kwa jumla kwetu ni elfu 50 tu, au sehemu zingine ni elfu70, kwa kila kilo ukiuza elf3, kwa siku moja utaingiza elfu 90, na faida itakuwa elfu40 kwa siku ukiwa umenunua kwetu kwa elfu 50 tu, au faida itakuwa elfu20 kwa siku ukiwa umenuua sehemu nyingine. Mimi pia nafanya biashara iyo na ninauza magazeti kwa jumla na rejareja kama utahitaji kwa jumla tuwasiliane.

Tunauza magazeti kwa jumla na rejareja, magazeti tunayouza ni yale marefu kutoka nje, siyo ya hapa Tanzania na yamepekiwa kwa bando, bando moja la magazeti lina kilo 15. bei zetu ni za chini sana tena sana.

Kilo 15 za magazeti ni 25,000 tu. Sehemu nyingi na watu wengi wanauzaga 35,000 hadi 45,000, ila sisi kwa kujali thamani ya mteja na kutokana na janga hili la CORONA tumeamua kupunguza bei, hadi 25,000 kwa kilo 15 za magazeti. tuna mzigo wa kutosha hata ukiwa unataka kilo 500, na ukiitahi kwa wingi {kwa jumla} tutakuuzia kwa 22,000 tu.

Tupo DAR ES SALAAM, pia tuna fanya derivery kwa wakazi wa dar wa mikoani tutakutumia kwa njia ya basi.

Kwa mawasiliano piga/sms 0692477610

Ahsanteni na karibuni sana.
Maelezo mazuri ila biashara inakuja kuwa na pancha pale ikiwa wenye maduka wananunua bandle kutoka kwenu sijui watu watauzia wapi kama target ni kwa wenye maduka ili na wao wapate kuzungusha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom