Naomba fursa ya kuonana na Pascal Mayala

Elius W Ndabila

Senior Member
Jul 17, 2019
152
500
Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze kubobea kwenye tasinia hii ya kichambuzi.

Nitashukuru kama moderate utanisaidia kuutag ujumbe huu kwa Pascal.

Ndiimi
Elius Ndabila
 

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,481
2,000
Nenda nyumbani kwake maana toka kakampuni kake kanyimwe tenda na CCM ya kutangaza kwenye sabasaba na nanenane,amekuwa mlamba viatu vya wanaume wenzie.
 

stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,454
2,000
Hata mimi namtafuta huyu jamaa, ukimpata nishtue labda tunaweza kunywa gahawa wote kwa pamoja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom