Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali za kufanya mtaani ili tusogeze maisha

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
994
1,000
Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.

1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.

Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani , kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za mange, sijui tanasha , sijui daimond mara kiba mara konde etc.
Nomba kuwasilisha
 
GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,969
2,000
Fafanua kuhusu hiyo mobiwork inalipaje...maana zingine unaletewa swali moja sh 20,kwa siku unajibu maswali 5 unapata sh 100.kuitoa mpaka ufikishe 11450...sasa hiyo inaweza kuwa afadhali kidogo
 
Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,099
2,000
Hii ni premise kama sikosei.
Ni app unadownload unajiunga kisha kuna maswali huwa wanakuletea unajibu kisha unalipwa.

Mimi huwa wananileteaga maswali mengi mno.swali moja 500...yanaweza hata yakawa 11 kwa siku ila yanahitaji picha na mimi kazi zangu zinanibana mnoo.
Ex:: wanaweza kukwambia wanahitaji kujua bei ya bidhaa fulani mtaani so wanahitaji pic,bei,bei elekezi no.....nenda play store kadownload free
Hii unafanyaje maana ni mambo magani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,099
2,000
Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.

1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.

Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani , kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za mange, sijui tanasha , sijui daimond mara kiba mara konde etc.
Nomba kuwasilisha
mleta mada nawe jifunze kuelezwa basi.

Mimi geopol ..ninayo.ila ninaweza jibu maswali mengi sana.ila sijabahatika kulipwa.naomba kukuuliza labda wanaangalia vigezo gani ili ilipwe.au kuna kitu.nakosea????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom