OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 419
- 670
Wanajamvi najua corona inatuumiza kwa namna moja au nyingine. Sio lazima uwe mgonjwa ili kuathirika na corona. Kuna watu kupitia corona wamefunga biashara nk
Lakini niwaambie wale wote wenye hela ambao wanaogopa kuwekeza kwa kipindi hiki cha corona, japo mnaogopa kuwekezalakini angalieni fursa hii kama itawafaa ifuateni
FUNGUA ACCOUNT YA FEDHA ZA KIGENI
Hii ni moja ya fursa kubwa kwenye soko la pesa, kumbuka ule msemo, 'when the USD sneezes, the world catches cold' kwa kipindi hiki muda si mrefu dola itazingua na ndipo thamani za pesa nyingine zitakapoporoma kwa kasi
Ili kubaki salama ukiwa na account iliyo katika fedha za kigeni, hautahofu sana kwa kuwa, shilling ikiporomoka kwako ni faida.
Iko hivi, kama leo unafungua account, dola 1, ikiwa ni takriban 2300
Baada ya muda shillingi ikaporomoka kutokana na hili janga, ikawa dola 1 ni sawa na tsh 3000, piga hesabu ukienda kutoa idadi ya dola zako ulizoweka
NB hii ni kwa wale tu wenye hela wanaoogopa kuwekeza kutokana na hali mbovu ya biashara kwa kipindi hiki.
RISK: Eeeh katika kila uwekezaji kuna risk, hii risk yake ni ikitokea benki uliyoweka hela imefirisika, itakula kwako, so chagua benk yenye nguvu kidogo, ambayo inaweza kuwa ya mwisho kutangaza imefirisika
ZINGATIA: Najua kuna fursa ya biashara ya vyakula lakini kwa msimu huu, kuna hatari kwa kuwa govt intervention ni kubwa, bei elekezi zinaweza kukumiza na ukapata hasara.
Serikali inaangalia anayeuza bila kuangalia anayezalisha anauza kwa bei ipi. Muda si mrefu sukari itakuwa sawa na bange kwa sababu ya bei elekezi, so hata vyakula vingine vinaweza kuingia katika mkumbo huo
WEKEZA KISASA
Signed
Oedipus