NIMR wapeni fursa mapema wagunduzi wengine wa Tibalishe

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
463
500
Tunawapongeza NIMR kwa hatua mliyofikia.

Isipokuwa nina ushauri kwenu, tibalishe/dawa za wenzenu mzifanyie utafiti au majaribio mapema. Sio vizuri kuziacha muda mrefu hadi pale mtakapoifikisha ya kwenu katika hatua nzuri. Kama mlivyosema ya kwenu ni rahisi kuharibika (angalia video chini) na hivyo mmeiwekea namna isiharibike angalau mapema, basi na za wenzenu zinaweza kuharibika mapema vile vile.

Sisi kama wananchi tunatamani matokeo mazuri toka kwa yeyote yule. Angalieni USA kampuni zaidi ya mbili tofauti zinafanya tafiti za chanjo, vivyo hivyo UK na China. Lakini huwezi kusikia malalamiko ya fulani anamkwamisha fulani au hata basi uwepo wa urasimu kwa makundi fulani huwezi kusikia.

Hii ni dharura nanyi fanyine kama dharura, kama hamna timu ya kutosha kutafiti na kuzithibitisha hizo gunduzi 15 nyinyine, ombeni serikali iwaongezee watu au mshirikiane hata na vyuo kuliko hiyo staili ya kuchelewa na kuweka michakato mingi.

Huwezi jua ni ipi inaweza kuwa na matokeo mazuri, mkichelewa chelewa zitaharibika na mwisho mtasema hazifai. Thats not fair, I think.

Bhikalamba

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
743
1,000

Hakika mi pia baada ya kusikia speech yao nilitamani kuandika Uzi kama wako nashukuru kwa kuliona hilo naomba NIMR walifanyie kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom