dunia

  1. X

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana. Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je dini ya shetani(satanism) inakaribia kutawala dunia?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mlokole lakini niliyebahatika kuisoma dini ya shetani na kuhudhuria ibada zao walau mara moja Dini zinazomwamini Mungu mmoja bado zina nguvu sana, mitandao mikubwa na wafuasi wengi duniani Hivyo basi hakuna ushahidi wa kisayansi, kisiasa, au kijamii...
  5. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  7. Vien

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  9. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

    Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dunia mara nyingi huwajaribu watu wenye uadilifu

    Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi. Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale wanaojaribu kusimama imara kwenye misingi yao. Ni kama chuma kinavyopitia moto mkali ndipo huwa imara zaidi...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji mkongwe wa EFM na ETV, Ssebo Afariki Dunia

  13. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Majaribu makali anayopitia mwanadamu hapa duniani. (hii dunia ina majaribu sana)

    13 Yer 17:5 SUV BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yetu wana ndoa

    Jamani msituchoke sisi ambao tupo kwenye ndoa pale tunapokuwa tunatoa malalamiko yetu kwenye mitandao ya kijamii Wengine ndo njia yetu ya kuondoa stress any way jana usiku nilinyimwa tendo la ndoa na mke wangu naumia sana
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  16. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa Shilingi Bilioni 5 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yamenifanya nione Dunia imefika Mwisho

    MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho. 2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini. 3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Global Economy: Hali ya deni la dunia ilivyo mpaka sasa

    Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
Back
Top Bottom