mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,140
Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika kilele cha ubora wake alifunga magnoli 8 katika mechi 7. Kikosi ni hiki hapa:
Karibuni kwa comments.