Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
969
Reaction score
1,692
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
 
Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.

Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
 
TBC sio channel ya kuangalizia mpira.
1768487846754.jpg
 
Hii habari siyo mpya hapa mjini. kwan Kipindi cha AFCON ilikuwaje?.maana tulikuwa tunaona giza tu
 
Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.

Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.

Mwambie miaka yote TBC Inarusha Kombe la Dunia.

Tunaijua vizuri TBC.
Wazee: kumradhi watazamaji tujiunge na makala maalumu ya Mradi wa bonde la Mpunga
 
Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.

Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Kwa uchumi huu mwekundu, nitakomaa nao tu
 
Back
Top Bottom