dunia

  1. Yoda

    Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  2. blogger

    Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

    Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu.... Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo. Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa. Shida ni nini. Kabila hili la Yesu Kristo.? Tafadhali
  3. ShesRise_1

    Dunia imejaa watu waongo

    1 ndoa ni utapeli 2 dunia imejaa unafki 3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi 4 Familia sio kila kitu 5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga 6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya 7 sina hakika kama Mungu yupo 8 I hate...
  4. N

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali kuwa na website au app ya mishe yako muhimu

    HABARI KUU Katika dunia ya sasa ya kidijitali, uwepo mtandaoni si hiari tena bali ni hitaji muhimu kwa biashara, taasisi na watu binafsi. Ikiwa unahitaji website ya kisasa, Android App, au iOS App yenye muonekano mzuri na utendaji wa hali ya juu, sasa ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua...
  5. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  6. Inside10

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  7. Kimbesa11

    Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

    Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake. Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie...
  8. Sir Matics Leokas

    Dini, Siasa, na Jinsi Zinavyodhibiti Dunia

    Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
  9. K

    Dunia inaenda kwa kasi Sana: Akifa mbunge wa CCM, GEN Z wanashangilia lakini Akifa GEN- Z anazikwa kishujaa na Kwa maandamano

    Nini kimetokea siku hizi. Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano. Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
  10. Q

    Kauli ya Samia 'Who are You' ilikuwa siyo ya kiungwana wala kidiplomasia, tunatengwa na dunia

    Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi. Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine...
  11. N

    'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
  12. Genius Man

    PostGE2025 Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenye ipo kwenye mgogoro na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu

    Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu. Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa sana africa nzima ni kwa kile kinachoitwa jaribio la kuiteka nchi na kuwa ya kikoloni na utumwa...
  13. Ex Spy

    TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

    Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten. Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za...
  14. DuaZaMama

    TANZIA Tagawa 'Mortal Kombat' afariki dunia

    Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani. Tagawa amefariki mbele ya familia yake baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa kiharusi 'Stroke' na taarifa hizo zimedhibitishwa na meneja wake Margie...
  15. Fbn

    Dubai imejengwa kwa pesa haramu zote za dunia

    Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa. Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai. Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai. Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai. Utakatishaji wa...
  16. The Burning Spear

    Samia Ageuka kuwa kituko cha dunia nzima.

    Aisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
  17. L

    Pendekezo la Maendeleo ya Dunia litahimiza uhuru wa kiuchumi wa nchi za kusini: Mhadhiri wa UDSM

    Kwenye mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Rais Xi Jinping wa China alitoa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia (GDI) likiwa na wito wa kuleta maafikiano kuhusu kufuata maendeleo, kuhimiza ukuaji wa pamoja na kusaidia kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya Umoja wa mataifa ya mwaka...
  18. Genius Man

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa. Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye machafuko,
  19. Q

    D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  20. Msolo

    Trump kuzuia nchi za dunia ya tatu kuingia Marekani

    Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale mifumo yake ya uhamiaji itakapokaa sawa. "I will permanently pause migration from all Third World...
Back
Top Bottom