dunia

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Viumbe roho wanne wanaotawala dunia

    Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia. Walipata umaarufu katika karne ya 16 kupitia mwanakemia wa Uswisi anayeitwa Paracelsus. Viumbe hawa wa asili...
  2. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  3. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

    Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira. Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

    I don't have much to to talk but Hopes ndio always zinaleta maumivu. Ngoja nikale zangu bia.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bingwa Wa Dunia Wa Masumbwi Crawford Kuitangaza Serengeti Kimataifa

    Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya kukutana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji. Tukio hilo limefanyika ndani ya Hifadhi...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Facts za kushangaza kuhusu satellites zinazozunguka dunia hivi sasa

    Watu wengi wakisikia satellite wanafikiria ni vifaa vichache tu vinavyozunguka dunia, lakini ukweli ni kwamba anga la karibu na dunia limejaa vitu vingi sana kuliko watu wanavyodhani. Kuna maelfu ya satellites zilizotumwa na nchi mbalimbali, makampuni binafsi, jeshi, vyuo vikuu na taasisi za...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  11. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  13. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ni nani anaeindesha dunia?

    Ni nani anaetaka dunia iende kwa favour yake? Ni nani ana panga sytstem, structures and njia za maisha? eli -DEFIANT- cohen Mshana Jr Castle_Lite Maxence Melo
  14. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    The top 5 largest banks world largest banks by assets: 1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China Assets: $7.30 trillion 2. Agricultural Bank of China | China Assets: $6.80 trillion 3. China Construction Bank | China Assets: $6.20trillion 4. Bank of China | China...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Akufukuzae Akwambii Toka, Kundi la Tanzania Kombe la dunia wanawake 2026 Poland

    Tanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026 #fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ukishinda Dunia, Serikali Inashinda Pesa Yako — Sawe Tax Saga Yaibua Hasira Kenya

    “Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mpo kwenye starehe, si mumeo, unabeba Mimba! Hivi una akili sawasawa?

    MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba. 1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa. 2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Muombolezaji afariki Dunia kwenye Msiba wa James Temba, Mwanafunzi Wa IFM Kilimanjaro

    Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba (24). Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Mei 7, 2026...
  20. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
Back
Top Bottom