MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,942
- 11,981
Ugonile,
Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma.
Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu katika miaka ya 1990 mpaka 2010 ilikua ndogo sana kulinganisha na saiv.
Nina imani ukirudisha miaka nyuma basi idadi ya watu ilikua ndogo zaidi kitu ambacho kinafanya niamini kuwa hii Dunia haina muda mrefu tangu kuwepo kwake, kama sivyo basi hakuna watu walikua wanaishi huko nyuma.
Nawasilisha