dunia

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

    Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo...
  2. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Leo Ronaldo ataishangaza dunia

    Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa ......... Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
  4. political monger senior

    JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  5. puker

    JamiiForums Tanzania Kutamani Dunia ifike mwisho, Nani mwingine aliwahi pitia hali hii?

    Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF. Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho kulingana na sittuation ya wakati huo. Binafsi nimewahi pitia vipindi viwili vingumu sana kwenye maisha...
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ndio ujumbe wa Israel ya leo kwa Dunia

    Niaje waungwana Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇 Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight kwa lengo la kuja kukushambulia na kukuchomea nyumba yako. Kweli ukiwa ndani huna hili, wala lile...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

    Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
  9. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Taja mechi zako tano bora za kombe la dunia mpaka sasa hivi

    Kwaupande wangu hizi apa 1. Ivory coast vs Equador 2. Morroco vs Brazil 3. England vs Croatia 4. Korea vs Czech Republic 5. France vs Senegal
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dunia ya wajinga, ulimwengu wa werevu

    Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fainali ya Kombe la Dunia Mtibeli nimepata Kadi ya Mwaliko kutoka kwa binti Salher. Imekwisha! Hata siamini

    Kachezeni mnapochezaga! Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu. Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu. Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

    Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden! Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
  14. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Hili kombe la dunia linanichanganya kwa kweli?

  16. Mtoto Teule

    JamiiForums Tanzania Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!

    Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa Iran inapendwa dunia nzima ikiwemo Tanzania

    Angalia bungeni
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Elon Musk amekuwa trillionaire ($) wa kwanza kutokea dunia

    Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years. 2026: $1 Trillion 2025: $683 Billion 2024: $400 Billion 2022: $219 Billion 2021: $151 Billion 2020: $74.6 Billion 2018: $19.9 Billion 2016: $10.7 Billion 2012: $2 Billion Utajiri wa elon upo documented ila naamini kuna watu walishaigusa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: MAKONDA ATINGA MEXICO KUPATA UZOEFU WA KUANDAA KOMBE LA DUNIA

Back
Top Bottom