Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,940
- 38,033
Hamna siku inayo pita bila kufuatilia chombo cha habari pamoja na social network ila nipo mbali sana na habari za mpira.
Mchana niliona instagram shamra sahara za fifa lakini akili yangu najua bado mwezi mmoja nikawa dili na bajeti!
Kumbe ni leo bwana! Japo siupendi mpira ila nitafuatilia .
Nakumbuka mara ya kwanza kuangalia mpira haswa kombe la dunia ni 2002 kule japani nadhani, kama sijakosea alishinda mjerumani, na tokea hapo nikawa naipenda Ujerumani na mwaka ule wa 2014 ujerumani walishinda tena , i natumaini mwaka huu Ujerumani tena.