Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,618
- 18,273
sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao wengi tu akiwa na familia yake safarini.
lkn sijawahi kukutana na mwanaume wa kiafrika akiwa na girlfriend wake wawili tu wakisafiri pamoja, hata tanzagiza ni ngumu kwenda mahali kukuta mwanaume yuko mahali akiwa na familia yake wanakula maisha sana sana ukiona mwanaume wa tanzagiza katoma out na demu you can be sure ni mchepuko na siyo mke wake au hata tu siyo permanent girlfriend ni mimi tu labda wapo na ni huwa siwaoni au niko sawa, niji maoni maoni yako? …