Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake.
Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana"
Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu.
Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
Habarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.
Kesho...
Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana,
Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa
Apumzike kwa Amani.
https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani?
Deep State
Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri?
Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama Marais na Waziri Mkuu ndio wenye mamlaka makubwa. Lakini je, hii ni ukweli wote? Imekuwa na misimamo...
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya...
Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣
Ila sisi waafrika🚮🚮
MAISHA YA MSTAHAFU 😎
Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii.
Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake.
Alinyakua...
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira.
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.
Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kwenye mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama...
Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini.
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo
HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio
Moja kwa moja,
Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza
Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais...
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.
Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.