Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
1,215
Reaction score
908
Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM)

NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr
Samia.

Nadhani UN watamchukua mara tu baada ya kumaliza muda wake maana si Rais mwanamke tu Bali ni Rais mwanamke na mwenye akili za pekee mno kuwahi kutokea Duniani
 
why you gay
Screenshot_20260604-201743.png
 
uko sahihi gentleman 100%👊
 
Kama unafanya joking sawa! Lkn kama uko serious basi wewe jamaa ni hatari sana kwa usalama na ustawi wa nchi hii.
 
Nyie ndio maadui wa Rais, mnamsifia hata akiboronga, mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Hii Ni Kituko Kimya Sana Yaani Rais Halafu Akafanye Kazi UN
 
Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM)

NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr
Samia.

Nadhani UN watamchukua mara tu baada ya kumaliza muda wake maana si Rais mwanamke tu Bali ni Rais mwanamke na mwenye akili za pekee mno kuwahi kutokea Duniani
😌😌
 
Back
Top Bottom