Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.
Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu.
Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake.
Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea tarehe 7 Februari, 2024 majira ya saa 9 (tisa) usiku huko eneo la Pugu Kisumo Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
Watu hao waliouwawa na kundi la watu kwa kuwashambulia na silaha za jadi, wanadaiwa...
Mwenyekiti wa bodaboda wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, amesema kwamba baadhi ya vijana wake wa bodaboda walifuatwa na kuahidiwa kupewa mafuta na posho ili washiriki kwenye maandamano lakini kwa mujibu wake yeye alikataa kushiriki.
ANGALIA VIDEO HAPA
Source - EastAfricaTv
Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police hawasimamishi bodaboda ata kwa ukaguzi wa leseni,kwa kuendesha mwendo wa kupitiliza, kwa kutosimama zebra...
"Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata...
Habari wana jamvi.
Kuna baadhi ya KAMPUNI za kukopesha BODABODA (mkihitaji sana nitaitaja) kuna tabia ya DHULUMA, utapeli au UWIZI naweza sema inafanya kwa vijana wa tanzania. Kila kijana anaye kopa PIKIPIKI kwenye hizo KAMPUNI pale anapo maliza deni, watu 9 kati ya kumi ambao nimekutana nao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
Wanaukumbi.
Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje.
Nani analipa hizo pesa za mafuta...
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
Kulingana na nyaraka za mahakama...
Habari za weekend wanabodi.
Moja kwa moja kwenye mada. Ni asubuhi nawahi kazini, nikiwa mmoja wa viongozi idara ya mauzo, pickup niliyopewa na ofisi inasumbua iko juu ya mawe.
Natoka nje jirani na ninapoishi kuna vijana wa bodaboda. Wanaponiona wananichangamkia na napanda mojawapo. Safari...
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.