Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya. Bodaboda hakuwa na hili wala lile mpaka pale aliposhangaa kijana kaingia kwenye njia yake huku akitanguliza bega mbele

Sometimes, tunawaonea bodaboda bure. Mambo mengine tunayasababisha sisi isipokuwa suala la bodaboda kututangizia binadamu kwa mbele tukiwa barabarani wakidhani kuwa kila aliyevalia tai anahitaji usafiri. Hapo watakutangiza mbele na nyuma, almanusra wakukanyage miguu

Cha ziada, nimenunua bodaboda
 
Ule utafiti kuhusu Watz wangapi kati ya wangapi wanaugua magonjwa ya akili inabidi waurudie upya. Yawezekana takwimu ni 9 wagonjwa kwa 1 mzima.
 
Back
Top Bottom