bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Bodaboda acheni undumilakuwili kwenye siasa, kuweni na msimamo, saa ya Ukombozi ni sasa!!

    Salaam, Shalom!! Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta? Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa? Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Aliyepotelewa na Pesa amtafute huyu Dereva wa Bodaboda Jijini Dar

  3. Mkwanzania

    KERO Baada ya kuanza kwa safari za SGR, hizi ni changamoto zake zilizojitokeza

    Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo. Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani...
  4. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka miwili barabarani, nina Leseni ya udreva iliyo ndani ya muda. Nafanya kazi kwa uaminifu...
  5. Travis Kitengo

    Ila bodaboda ni baala!

    Wao wanajiita maafisa usafirishaji.Wana visa sana
  6. Gulio Tanzania

    Bodaboda zimekuwa nyingi, vifo vinavyotokana na ajali vimekuwa ni vingi mno

    Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno. Nashauri Serikali...
  7. Stephano Mgendanyi

    Bodaboda Wanufaika na Mikopo ya Asilimia 10 ya Mapato ya Halmashauri

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema kundi kubwa la vijana ambao ni Boda Boda Ni miongoni mwa makundi ambayo yamekuwa yakinufaika na Mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya Ndani ya Halmashauri...
  8. Hakuna anayejali

    Licha ya tabia mbaya za bodaboda tusiache kuwatetea wanapoonewa

    Mimi siwaiti madereva bali waendesha pikipiki za biashara wanapitia changamoto za uonevu toka kwa mabosi wao na jeshi la polisi. Niliwahi kuelezwa kisa kimoja cha boda aliyekuwa anaendesha boda ya mkataba. Ishu ilikuwa hivi: huyu boda anaendesha boda ya tati kwa bosi mmoja, sasa akakodiwa...
  9. M

    Msaada kazi ya udereva bodaboda

    Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
  10. PureView zeiss

    Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  11. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  12. TODAYS

    Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  13. Mjanja M1

    Video: Tayari Bodaboda kashafanya yake

  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana. Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru. Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari. Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    Video: Hizi ndio akili za bodaboda

    Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake...
  16. Shining Light

    Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Hivi bodaboda wanapataje leseni, maana uendeshaji wao upo rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali. Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara...
  17. Melvine

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Unaweza jiuliza kwenye 'lane' hiyo alifata nini ila unaweza kosa majibu ya haraka.
  18. ndege JOHN

    Heri ununue nyavu kuliko bodaboda

    Nyavu ya inch 3 au 5 ukiinunua mpya ni kama million 1 hivi ambayo maliasili hawatakusumbua, chombo ni ngalawa ambayo ni kama laki 2. Ukimpata baharia mzuri akasimamia na wavuvi wake 10 kazi ikafanyika una asilimia 25 ya mauzo. Mfano imepatikana 100000 basi yako ni 25000 ➕ samaki wa mboga na...
  19. Abraham Lincolnn

    Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  20. Mjanja M1

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Back
Top Bottom