Siku hizi ukizubaa tu getini kwako panageuzwa kijiwe cha bodaboda

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda.

Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano.

Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda.

Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka kijiwe cha kudumu getini kwako.

Swali langu ni lile lile la siku zote.

Je, serikali imekubali kwa moyo mweupe kuwa kazi ya bodaboda ni ajira rasmi katika nchi hii?
Chekechea mwaka 1
Primary miaka 7
Secondary miaka 4
Advanced secondary miaka 2
University miaka 3

Jumla miaka 17, huyo ni smart in class na hajaumwa aliyepigwa rounds atapata degree kwa miaka 18- 19.

Anakuja kufanya kazi ya bodaboda ambayo amefundishwa kwa masaa 3.
 
HATA YESU ALIKUWA SEREMALA USIDHARAU KAZI WALA KUCHAGUA TUFANYE KAZI YOTE YOTE HALALI HUKU TUKIMSUBIRI YESU KRISTO

MARAN ATHA - BWANA WETU ANAKUJA
Seremala sio kazi duni.
Ni professional job.
Kuna watu wana degree za carpentry.
 
Fanya kazi yeyote halali inayolipa, hii nchi bado bado
 
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda.

Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano.

Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda.

Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka kijiwe cha kudumu getini kwako.

Swali langu ni lile lile la siku zote.

Je, serikali imekubali kwa moyo mweupe kuwa kazi ya bodaboda ni ajira rasmi katika nchi hii?
Chekechea mwaka 1
Primary miaka 7
Secondary miaka 4
Advanced secondary miaka 2
University miaka 3

Jumla miaka 17, huyo ni smart in class na hajaumwa aliyepigwa rounds atapata degree kwa miaka 18- 19.

Anakuja kufanya kazi ya bodaboda ambayo amefundishwa kwa masaa 3.
Hii kazi ina faida zake na hasara.

Faida mojawapo inarahisisha usafiri.

Hasara kubwa ni risk yake, ukiipanda unakuwa upo mlangoni mwa Sir God.

Yote Tisa Kumi. Lema alikuwa na hoja!!
 
Hao vijana bodaboda wakiwa wazee watakuwa na afya mgogoro hasa kipengele cha mapafu na uti wa mgongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom