Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

maandalizi ya kifo kibaya sana na cha huzuni mno, mahali hatarishi kwa uchafu na chukizo, aibu na fedheha kwa wahusika, familia na jamii kwa ujumla....

mambo sahihi yafanyike kwa usahii mazingira na mahali sahihi na kwa usalama....
Relax, maisha hayapo complicated hivyo. Kila mtu afanye linalompa raha bila kuvunja sheria, maisha ni mafupi sana Ili mradi usivunje sheria. Ku kiss kwenye public hairuhusiwi kisheria lakini ku kiss ukiwa kwenye motion kama huyo mhuni sio kosa kisheria. Kwasababu ukimwangalia wewe ndo umejipendekeza. Halafu, Kila nchi lazima iwe na wahuni Ili kuleta amsha amsha sio nchi inapoa kama North Korea.
 
Back
Top Bottom