bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda, vifo vingine mnajitakia!

    Hawana helmet! Wanajipenyeza katikati ya matairi! Mtu hajihurumii, kwa nini nimhurumie?
  2. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu. Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania LATRA K'njaro yawezesha SACCOS kwa Bajaj na Bodaboda

    Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini mkoani wa Kilimanjaro(LATRA)imekamilisha mchakato wa uanzishwaji wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo(SACCOS)kwa ajili ya chama cha Madereva wa Bajaj na Bodaboda Katika mkoa wa kilimanjaro. Mpango huo inatajwa kama moja ya mwarobaini wa kutafua changamoto...
  5. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bodaboda anaomba Muongozo anahisi kuna Mazingaombwe

    Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje?
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

    Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya. Bodaboda hakuwa na hili wala lile mpaka pale aliposhangaa kijana kaingia kwenye njia yake huku...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO LATRA fanyeni hivi kutatua Tatizo la bodaboda na bajaji na usafiri wa mijini kwa ujumla

    Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali. Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji. Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukizubaa tu getini kwako panageuzwa kijiwe cha bodaboda

    Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda. Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano. Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda. Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka...
  12. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

    Thread was deleted
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

    Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda. Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana. wamechoma bus la saibaba huko tanga. Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?

    Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili? Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Basi la Kampuni ya Sai Baba linalofanya Safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Arusha limeteketezwa kwa Moto mara baada ya kusababisha Ajali kwa kumgonga Dereva wa Bodaboda na kudaiwa kusababisha kifo kwa dereva huyo wa Bodaboda katika eneo la Msambiazi wilayani Korogwe mkoani Tanga leo...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

    Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo. Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  20. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda katika ubora wetu...!

    Sisi ndio madreva pikipiki aka bodaboda!Tupo road tukiendelea kuganga njaa
Back
Top Bottom